Tafsiri ya kiswahili ya jina la wimbo huo wa Patoranking na diamond platnumz-Love you die , ni ipi?
Kwa tafsiri yangu ni "nakupenda.kufa" au "die" ni kinigeria kama wanavyozoeleka kuongezea "-oo"...
Kwani kuna makabila fulani yanapenda sana kutamka kwenye Maneno yanayoanzia na herufi :"m" wao huweka herufi : "N" sasa sijui wao ndio wapo sahihi au laa
Kwamfano Maneno haya
Mkate: nkate
MTO...
Haya maneno mawili,yana tafsiri zinazoshabihiana kwa maana ya "kutoelewa". Unatakiwa kama kiongozi, kuwa makini unapoyatumia maneno hayo . Nijuavyo kazi ya kiongozi yeyote,ni kutoa mwanga au...
Hey Guys,
Wimbo mpya wa Ali Kiba 'Seduce Me' unabamba sana kwa sasa na kuna maneno kadhaa ya Kiingereza yametumika kwenye wimbo huo.
Nimeleta kwenu wajuzi wa lugha tusaidiane... Pale anaposema...
Kama mada inavyojieleza
Naona hapa Mwanza wasukuma hapa wana mambo ya kishamba
Wasukuma wa mwanza kwa ushamba wanaendekeza kuongea kilugha chao mbele ya mtu ambae hajui maana ya wanachokiongea...
Ni msemo maarufu sana katka jamii zetu, katika kufkria kwangu kote bado sijaweza kujua undani wa msemo huu au maana kamili.
- Je ni mafungu kwa maana kuna fungu la kwanza mtu hultumia tangu...
Habar wanajamvi..kuna maneno haya ya kiingereza huwa yananitatisa naombeni ufafanuzo ...profession, professional &professionalism haya maneno yanatumikaje ..kinomino na kitenzi au kishazi
Naomba...
Hivi karibuni neno kukurupuka limepata umaarufu mkubwa katika ulingo wa siasa, hasa viongozi wa upande wa upinzani. Najiuliza:
1) Ni nini maana halisi ya kukurupuka?
2) Ni katika mazingira yapi...
Money ni kingereza, fedha asili yake ni kiarabu, hela ni kijerumani, pesa ni kireno. Shilingi na noti ni kingereza. Kwa kiswahili asilia money ni nini.
Umasikini wetu unaanzia hapo!
Na ukiona...
Kama swali nilivyouliza hivi hili neno kigogo linamaanisha nini?
Na ili mtu uwe kigogo unatakiwa kuwa na sifa zipi,?
Na huo ukigogo ni Cheo au neno tu la kumkuza mtu furani?
Note...
Mke mmoja hatoshi,sisemi alimradi
Nawala sibahatishi,kama wachimba migodi
Ngoja endezake moshi,ukung'utwe na baridi
Mke mmoja hatoshi,jikusuru na wawili.
Kama utakapo huba,basi ongeza idadi
Taona...
As explained above anybody whom knows a meaningful of that word bellow in swahili may help please
[emoji116][emoji116][emoji116]
(Alley_____)
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamfano utamkuta mwamke kazaa anabadilishwa Jina lake nakuitwa Jina la mtoto wake aliomza upi usahihi wa kuitwa kwa mfano mwanawe Jina: AMINA:
1: mama amina
2: maa amina
3: mama yake amina
4...
Sabalkheri wana Jamii Forums?.
Ni mara kadhaa umewahi kusikia, ama kusoma mahali fulani usemi huu, "Mimba za utotoni". Inawezekana kabisa wanaolitumia neno hili "Utotoni" ama hawana ufahamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.