Naomba kujua Kidney Stone kwa kiswahili

Agri- Care

Member
Mar 22, 2017
6
1
Ugonjwa unaoitwa " kidney Stone " je kwa Kiswahili ni Ugonjwa gani huu??

yeyote wa kusaidia tafadhali.
 
Ni ugonjwa wa kumuomba Mungu akuepushie, ,,me miezi miwili iliyopita nilikuwa nasikia maumivu makali,,,baada ya utra sound nikakutwa na ilo tatizo,,, nilipewa dawa ya maji DISODIUM ,,,,sasaivi najitaidi kunywa maji kwa siku almost lita tano, kidogo nna unafuu,,nataka nikacheki tena kama yalitoka kwa njia ya mkojo yote au la,,, maana nilikojoa uchafu mweupe dizaini kama limesagika jiwe
 
duuu walikwambia chanzo ni nini I mean ni vitu ulikula vikasababisha au kuna organ zingine zikifail zinasababisha? share na cc please
 
Ni kama jina linavyosema mawe kwenye figo yanasababishwa na crystals zitokanazo na uchafu wa mwili kujikusanya kwenye figo na kuwa kama mawe yana maumivu makali sana. Unaweza kutaepuka kwa utaratibu wa kunywa litre 2 za maji kwa siku
 
duuu walikwambia chanzo ni nini I mean ni vitu ulikula vikasababisha au kuna organ zingine zikifail zinasababisha? share na cc please
Me hata Najua mkuu,,,ila asilimia kubwa ni vyakula tunavyokula nadhani,,,,,uki-Google utapata ufafanuzi nini huwa kinachangia
 
Back
Top Bottom