Kiswahili lugha yetu lakini wewe acha tu

qaxemvule

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
230
117
Kwamfano utamkuta mwamke kazaa anabadilishwa Jina lake nakuitwa Jina la mtoto wake aliomza upi usahihi wa kuitwa kwa mfano mwanawe Jina: AMINA:
1: mama amina
2: maa amina
3: mama yake amina
4: ***** amina
5: mzazi wa amina
6: bii mkubwa wa amina


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ***** amina si matusi hayo

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Mbona kichekesho? mara unatamka mbele za watu ***** Amina au mamake Amina, au mamaye Amina. watahisi unamtusi amina
 
3,4,5 na 6 ni sahihi, usahihi wa kiswahili unakuja kutokana na neno na ngeli itakayotumika
Ukisema maa, mamaa au ma amina basi hapo haimaanishi ni mzazi wa amina bali hiyo maa imetumika kama kielelezo cha hadhi au sifa.

Jamii Forums mobile app
 
Mbona kichekesho? mara unatamka mbele za watu ***** Amina au mamake Amina, au mamaye Amina. watahisi unamtusi amina
Humtusi mtu bila kutaja kitu ambacho ni tusi, sema zile swagg au simo tunazotumia kitaa ndio tunaona kama ni matusi, au kutumia maneno mkato

Jamii Forums mobile app
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom