Hivi hili neno kigogo linamaanisha nini??

Hivi hili neno kigogo linamaanisha nini??

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,200
Kama swali nilivyouliza hivi hili neno kigogo linamaanisha nini?

Na ili mtu uwe kigogo unatakiwa kuwa na sifa zipi,?

Na huo ukigogo ni Cheo au neno tu la kumkuza mtu furani?


Note: Sizungumzii kigogo( wagogo) kama kabila nazungumzia neno lake.

Mfano utasikia mtoto wa kigogo atiwa mbaroni au kigogo flani afanya kufuru jijini dar,
Hii ni kwa mujibu wa magazeti yetu ya bongo.

Sasa nataka kujua ili neno kigogo.
 
hebu imagine neno "GOGO"
gogo ni kipande cha mti,hivo kukiondoa kilipo nguvu kubwa inahitajika,pia akili kubwa..
sasa mtu ambae ni kigogo ana sifa hizo za gogo..
 
Kigogo ni mtu mwenye wadhifa mkubwa/cheo kikubwa au ni mtu tajiri mwenye uwezo mkubwa kifedha.
 
Back
Top Bottom