Kati Ya Ombi na Maombi Lipi Sahihi zaidi.

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,323
4,667
Kuna utata kidogo umejitokeza katika kuandika barua za Kikazi hasa upande wa kichwa cha habari.

Mfano kampuni X inatangaza Nafasi kumi za kazi andika barua kuomba nafasi hizo Je Kichwa cha habari kitakua.

YAH:Maombi ya kazi au YAH:Ombi la kazi?

Karibuni wataalamu wa Lugha mtujuze.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea hapo, maana ombi means umoja, na maombi means wingi, so yote yanaweza kuwa majibu inategemea na swali, lakin sahihi hapo ni ombi mf. Yah ombi la ruhusa ya siku yau
Yah maombi ya ualimu
 
Ombi ni katika umoja maombi ni uwingi unapoandika barua ya kuomba kazi unawasilisha ombi na ndio maana mwisho inaandika "natumai ombi language litakubaliwa"," natumai ombi language litazingatiwa" kwahiyo usahihi kwa mtazamo wangu ni OMBI
 
Ombi ni katika umoja maombi ni uwingi unapoandika barua ya kuomba kazi unawasilisha ombi na ndio maana mwisho inaandika "natumai ombi langu litakubaliwa"," natumai ombi langu litazingatiwa" kwahiyo usahihi kwa mtazamo wangu ni OMBI
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom