Natafuta maana ya msamiati huu wa kifaransa

Natafuta maana ya msamiati huu wa kifaransa

Fait ni conjugaison ya verb Faire katika nafsi ya tatu kwa mfano il fait, elle fait. Faire maana yake ni kufanya. Ila hapo ulipoaindika Ver'fait utakuwa umekosea .
 
Nilikosea kidogo hilo ni Spain lenyewe hili hapa

Se fermenter

emoji115.png
emoji115.png
emoji115.png
emoji115.png

Sent using Jamii Forums mobile app
Se fermenter.
Nilikosea kidogo hilo ni Spain lenyewe hili hapa

Se fermenter

[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]

Sent using Jamii Forums mobile app
Okey, hii ni verb ambapo Subject inajifanyia action yenyewe. Fermenter kwa kiingereza ni kama tu neno fermentation. Ambacho ni kitendo cha metabolism Sukari inabadilika kuwa pombe kwa mfano. Ile process ya kutengeneza pombe.
Se fermenter maana yake kitu kinajibadilisha chenyewe.
 
Sawa mkuu imenisumbua vibaya mno hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom