PLO Lumumba na misamiati migumu

NAKEMBETWA

JF-Expert Member
Apr 20, 2012
3,518
3,130
7a09e0cd05474498bfe94b42895b5d54.jpg

8469b4e88e30872ce720088ff14354b4.jpg

82e6c2d8afbde059c12e367aba05c191.jpg

720e1d86f70c1cfbf8e69eafd098bae1.jpg

dd03f07acff4178aa6fe7bea5b835d9e.jpg

e8aef93fc38f1f30cd9f9bbea949f98d.jpg


sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
 
Huyu jamaa anapenda kutumia vocabularies ngumu sijui kwa nini?

sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
 
Huyu jamaa anapenda kutumia vocabularies ngumu sijui kwa nini?
Heshima Mkuu..

Huyu Bwana Patrick Loth Otieno Lumumba ni Daktari wa Sheria (Doctor of Philosophy) Doctor of Philosophy - Wikipedia.

Sina shaka na usuli (background) ya Elimu yake hata kidogo, macho yake yamepitia maandishi mengi mno mpaka hapo alipofikia. Nb; kusoma kwingi kuona mengi.

Pia Ph.D holders wengi wana-misamiati walizoziazisha wao wenyewe katika ulimwengu wa Taaluma, aidha katika maaandishi (Thesis) zao, Vitabu, Makala (Articles) nk. Pia si haba katika kujifunza kupitia Kamusi pamoja na kusoma vitabu ambavyo kwetu sie ni Ugonjwa wa kujitakia.

Nadhani huku ndiko kunakopelekea kuwa na hii misamiati migumu. Pia humu JamiiForums | The Home of Great Thinkers nako si haba. Wapo wazee (by street definition) wenye weledi wa kutumia hii misamiati na mara kadhaa tunakutana na bandiko zao kadha wa kadha.

Asalaam.
 
Huyu jamaa ni "Bigot",kuna maprofesa wengi tu na wamesoma kuliko huyu jamaa lakini wakiandika hawaandiki misamiati migumu kama hivi,kama unaandika misamiati migumu kama hivi maana ake ujumbe wako utawafikia watu wachache sana,je hiyo ndio madhymuni ya huyu bwana
 
I think the guy is trying to trap peoples attention Ila sidhani kama anafanikiwa kufilisha kile anachotaka. mtu kama huyu akiandika article huwez kuisoma hata.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom