Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Wajameni naomba kujuzwa hivi maana halisi ya neno RAMLI CHONGANISHI ni nini? Maana hivi karibuni umekuwa msemo maarufu kwenye vyombo vya habari hususani kwenye kanda ya ziwa. Waganga wanaambiwa...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Kwa wataalamu wa lugha na misemo ya Kiswahili, msemo unaosema "Binamu nyama ya hamu" huwa una maanisha nini? Karibuni kwenye jukwaa kwa michango.
1 Reactions
2 Replies
6K Views
Naomba kufahamishwa jina la mhudumu wa hospitali wa kiume kwa jina la taaluma yake, kama wa kike ni nurse je wa kiume ni nani? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
11 Replies
9K Views
Huu ni msemo unaokuja kwa kasi apa mjini au naweza kusema ndo habari ya mujini kwa sasa, Founder wa jina hilo ni mwanadada riyama ally(muigizaji) na maana halisi ya neno hilo ni rafiki/ shoga/best...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Wana bodi naomba kujuzwa maana halisi ya BANDIDU.,maana nasikia kuna JASILI na KAKAMAVU. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
16 Replies
10K Views
Yalionikuta leo huko kwenye duka moja nilipofika hapo dukani nikauliza bidhaa niliokua naitafuta kwa muda mrefu madukani lakini duka hilo nimeikuta tena ndio ilibaki hiyohiyo moja tu katika...
0 Reactions
3 Replies
914 Views
Kichwa cha habari chajielza Sent from my itel it1507 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
5 Replies
2K Views
MSIWATUSI WAHENGA. 1)Kama hupendi jinyonge,Ujumbe nakutumia Ukwingie ukugonge,ukipenda weza lia Na useme na uchonge,tungo sitoifumbia Msiwatusi wahenga,kwa zo picha za ajabu. 2)Leo nawapa...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za leo. Napenda kuwapa rai ndugu zangu. Najua sisi sote humu ndani ya hili *_kundi sogozi_* tunamiliki _*simu tamba*_. Tuweni makini kwani kutumia _*sikanu*_ zetu _*mkondoni*_ kunaweza...
9 Reactions
36 Replies
5K Views
Haya matunda yanaitwaje kwa lugha ya kabila lako
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Msaada; Nini maana ya neno au kikundi cha maneno UBWABWA WA SHINGO kwani Mara kadhaa nimewahi kulisikia pasina kujua maana yake Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
5 Replies
14K Views
1. Mafunzo kazini – on job training 2. Mafunzo tarajali – pre-service training 3. Mafunzo ya kujiendeleza – in-service/in-house training 4. Mhafidhina – conservative person 5...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau habari... Kwa dada zetu.., hv nini maana ya neno Demu, na vipi mnajisikiaje mkiitwa na wapenzi wenu demu.? Ufafanuzi please maana hili neno kwa kingereza lina maana nyingine ila kwetu naona...
0 Reactions
23 Replies
16K Views
SHIKAMOO inamaana gani kwenye salam? maana nimeona tofauti nyingi kwenye lugha tofautitofauti salam inapotoka huja au hujibiwa kama ilivopokewa.. mfano; assalaam aleykum.. hujibiwa waaleykum au...
2 Reactions
12 Replies
6K Views
MBINGU, ANGA, JUA, NA UUMBAJI. Rejea mada yangu juu ya vitu sita ambavyo havikuumbwa na MUNGU. Wakati wakichangia mada yangu juu vitu sita ambavyo Mungu hakuviumba, watu kadha wa kadha Jamii...
0 Reactions
5 Replies
8K Views
Naomba kuuliza KANAKA ni neno la kiswahili? Kama ni neno la kiswahili lina maana gani? Nsanzi
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa wale wajanja wenzetu ambao lugha haziwapigi chenga aidha -Kiingereza -Kifaransa -Kihispaniola -Kireno -Kichina -Kiarabu -Kikorea Na mengineyo naomba mnisaidie kutafsiri baadhi ya nukuu hizi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
1. Mafunzo kazini – on job training 2. Mafunzo tarajali – pre-service training 3. Mafunzo ya kujiendeleza – in-service/in-house training 4. Mhafidhina – conservative person 5...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom