TUIDUMISHE AMANI

TUIDUMISHE AMANI

Idd Ninga

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2012
Posts
5,539
Reaction score
4,854
TUIOMBEE AMANI

Tumuombe maulana,amani yetu idumu

Tushikane kuungana,amani isiwe ngumu

Tusije kufarakana,nchi kaingia sumu

Tuiombee amani idumu kwetu nchini.



Amani ikitoweka,nani wa kumlaumu

Saa vita vimezuka,mambo yamewa magumu

Damu itapo mwagika,nchi ijae haramu

Tuiombee amani,idumu kwetu nchini



Amani ikipotea,ajira zinatoweka

Uchumi waangamia,pesa zinapukutika

Viwanda vya teketea,vijana wanafutika

Tuiombee amani,idumu kwetu nchini.



Kwa kudumisha amani,Tanzania yasifika

Tuitilie moyoni,tufanye sala hakika

Kanisa msikitini,tumuombe msifika

Tuiombee amani,idumu kwetu nchini



Kijana mwenye akili,atailinda amani

Kijana alojahili,ataharibu

amani Kijana aso rijali,atafuruga amani

Tuiombee amani,idumu kwetu nchini

shairi limetungwa na Idd ninga
 

Attachments

  • th.jpg
    th.jpg
    11.1 KB · Views: 59
TUIOMBEE AMANI

Tumuombe maulana,amani yetu idumu

Tushikane kuungana,amani isiwe ngumu

Tusije kufarakana,nchi kaingia sumu

Tuiombee amani idumu kwetu nchini.



Amani ikitoweka,nani wa kumlaumu

Saa vita vimezuka,mambo yamewa magumu

Damu itapo mwagika,nchi ijae haramu

Tuiombee amani,idumu kwetu nchini



Amani ikipotea,ajira zinatoweka

Uchumi waangamia,pesa zinapukutika

Viwanda vya teketea,vijana wanafutika

Tuiombee amani,idumu kwetu nchini.



Kwa kudumisha amani,Tanzania yasifika

Tuitilie moyoni,tufanye sala hakika

Kanisa msikitini,tumuombe msifika

Tuiombee amani,idumu kwetu nchini



Kijana mwenye akili,atailinda amani

Kijana alojahili,ataharibu

amani Kijana aso rijali,atafuruga amani

Tuiombee amani,idumu kwetu nchini

shairi limetungwa na Idd ninga
Unaomba amani mmeficha mapanga kiunoni[emoji379] [emoji378]
 
Back
Top Bottom