"viwatilifu" inamaana gani

"viwatilifu" inamaana gani

ubuntuX

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2014
Posts
1,998
Reaction score
2,242
huu msamiati nimeanz kuusikia hivi karibuni lakini sijui maana yake ni nini

wajuvi wa lugha, nifumbueni katika hili nini maana ya neno "viwatilifu"
 
Naona ni kama sumu zinazotumika kwenye kilimo hawa wazee wa kiswahili wanatuchanganya kila siku wanatoa maeno ya ajabu tofauti na yale tuliyoyazoea kwenye matumizi ya kawaida
 
Naona ni kama sumu zinazotumika kwenye kilimo hawa wazee wa kiswahili wanatuchanganya kila siku wanatoa maeno ya ajabu tofauti na yale tuliyoyazoea kwenye matumizi ya kawaida
asante mkuu
ndio kukua kwa lugha huku
 
Back
Top Bottom