Money ni nini kwa kiswahili?

Zeni2017

JF-Expert Member
Apr 27, 2017
1,247
532
Money ni kingereza, fedha asili yake ni kiarabu, hela ni kijerumani, pesa ni kireno. Shilingi na noti ni kingereza. Kwa kiswahili asilia money ni nini.

Umasikini wetu unaanzia hapo!

Na ukiona kwa kikabila chako mnatumia maneno kama hea na pesa ujue hamna asili nazo.
4895ad159ffcbea519c2a1494d398ac4.jpg
 
Magufuli Baba lengeza kamba kidogo..... Magufuli kabana hela hadi watu wanatafuta jina halisi la hela kwa kiswahili?????


Magufuli Baba unatuuwa''''''


DM-Magufuli-100-days-Simon-Allison.jpg
 
Back
Top Bottom