Napenda sana niweze kuongea kiingereza lakin tabu inakuja namna ya kuunga maneno ili yalete maana kama kuna mtu anaweza anisaidie maana nakosa fursa nyingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mutabaruka – Dis Poem Lyrics
This poem
Shall speak of the wretched sea
That washed ships to these shores
Of mothers cryin for their young
Swallowed up by the sea
This poem shall say nothin new...
Weep not child,
Weep not my darling,
The ravening clouds shall not be victorious,
They shall no longer posses the sky.
Discuss;
Who is the child?
Who is the darling?
Who is/are the ravening...
Habari Wadau.
Kwa kutambua kuwa tunao wasomi,
Wajuzi na Wabobezi wa Lugha anuai humu ndani,
Nachukua fursa kuomba nipewe shule ya maneno linganifu yaliojibebea umaarufu wa kutosha katika...
SOCIALISM: You have two cows, and you give one to your neighbor.
COMMUNISM: You have two cows, the government takes both and gives you milk.
FASCISM: You have two cows, the government takes both...
Kuna Watu huwa wakiwa misibani hupenda kusema moja wapo ya neno hili kwa lugha yetu adhimu ya Kiswahili ambapo Kiukweli Mimi ambaye ni Mgeni hapa nchini Tanzania huwa nashindwa kujua nilishike...
Jamani nawasalimu wote kwa mujibu wa imani ya kila mtu.... kama sitakuwa nimekosea nahisi JF kuna thread nyingi zimeanzishwa kwa ajili ya movies wakishare movies walizonazo..
Baada ya kuwa...
Ndugu zangu nianze kuwasalimu kwanza hamjambo humu shida yangu ni kupata maana na tofauti kati ya maneno yafwatayo Sports na Entertainment ni maneno yanayo nichanganya sana ndo maana nimekuja...
Guys I would very much appreciate to have a soft copy of any poem book particulary those written by famous East African writers? I do remember some of them such as "After 4.30"."Son of a...
Wahenga husema ukimuua nyoka lazima ukate kichwa chake. Ukisha uchimbe mashimo mawili moja fukia mwili wa yule nyoka.
Na lile shimo la pili fukia kile kichwa cha yule nyoka.
Kama hujakikata kile...
Poleni na mihangaiko ya kutwa wana JF,
Naombeni mnisaidie maana ya neno mfawidhi.
Huwa lina maana gani maana huwa nakutana nalo sana hospitalini chumba kimeandikwa mganga mfawidhi pia mahakamani...
Wataalamu naomba msaada maana ya neno ufundi mchundo
========
Mkandarasi ni fundi mwenye taaluma ya juu kuliko mafundi wengine wa ujenzi wakiwemo wakandarasi wa barabara wanaofahamu vitu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.