Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Wadau nina kijana wangu, amefaulu vizuri tu form 6, na anahitaji kusoma kati ya hizo kozi mbili hapo juu, kwa anayefahamu indetail kuhusu hizo kozi. Msaada please ili niweze kumshauri..Maana...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Karbuni Tujuzane Zaidi Jinsi Ya Kutuma Maombi Katka Vyuo Vilivyo Sajiliwa Na Nacte
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari za wakati huu? Naomba msaada wa mawazo. Nina ndugu aliyemaliza kidato cha sita, Combination CBG. Kwa mujibu wa matokeo yaliyotoka hivi juzi, amepata division three (3). Sasa naomba mwenye...
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Pass za kijana wangu ni hizi: Physics -D Chemistry D Biology C Anatamani sana kusoma Pharmacy, je kuna chuo kitampokea. Bugando is rejecting. Minimum pass za pharmacy ni zipi? please assist...
1 Reactions
10 Replies
5K Views
Naomba msaada., minimum 6 points ina maana gani, C=3 D=4 E=5 sasa hapo minimum 6 points zinapatikanaje? Three principal passes in Physics, Chemistry, and Biology with minimum entry of 6 points...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu napenda kuuliza hii kozii iko vp?coz nimeapply third round Na nikipangiwa ntaenda ku deal nann nikimalizaa na vp soko lake la Ajira
0 Reactions
45 Replies
11K Views
Mimi ni mwanafunzi wa kidato cha tano ambae nimechaguliwa katika shule moja hapa jijini Dar nikiwa nimepangwa tahasusi ya HGK. Ndoto yangu ya kitambo ni kuwa mwanasheria lakini kuna watu...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari wana JF, Kwa matokeo haya je ni kozi gani itamfaa Economics - C Geography - C Mathematics - S
0 Reactions
17 Replies
7K Views
Muswada ulishapita bungeni je kuna anayefahamu chochote je ishasainiwa? au itaanza lini? Wenye Diploma waula,sasa kuanza kupata mikopo 11 months ago Wenye Diploma waula,sasa kuanza kupata...
2 Reactions
11 Replies
5K Views
Samahan wadau, nimeambiwa kuwa majina ya wanafunzi waliokosea maombi ya mkopo yametolewa na loan board ila najarbu kutafuta siyapati, kwa anayefahamu zaidi naomba msaada kwa hili. Sent using...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Habari wakuu Moja kwa moja kwenye mada. Juzi nilipanda na uzi wa kuuliza kuhusu mdogo wangu wa kike aliyepata DIV 3 ya 14 katika mchepuo wa PCB yakuwa ataweza kusoma shahada yake ya awali, jibu...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Mwenyekujua kwa nini KIU Dar haijawekwa tafadhali.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu, Naomba mwenye nakala ya barua inayoonyesha mfumo mzima wa barua ya kuomba kibali cha kuhamia halmashauri nyingine katika mkoa mwingine. Au layout nzima ya kuomba kuhamia halmashauri...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Habari zenu wanajamvi, mdogo wangu kachaguliwa zanzibar college of health na lugalo(private) coz moja kote sasa haelewi akasome wapi? Ni kipi chuo kizur kati ya hivyo viwili? Kuhusu ada hakuna...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Mwenyekujua kwa nini KIU Dar haijawekwa tafadhali.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
YAH: OMBI LA KUHAMISHIWA JANGWANI HIGH SCHOOL Mimi ni Sadick francis Masilu, (BAED) ninaomba mamlaka zinazohusika na uhamisho na uteuzi mnipeleke nikafundishe JANGWANI HIGH SCHOOL sababu nina...
4 Reactions
30 Replies
5K Views
wadau naomba kuuliza kwa anaejua .kna dogo aliungq vyeti viwil vya form four akafqnya mtihan wa form six mwaka huu..asa anatka kuapply mkopo na kwnye bahasa hizi mpya kuna sehemu unatkiwa uandike...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Haihitaji kufanya utafiti wowote ili kujua mchango wa wanafunzi wa vyuo vya Muhimbili katika kuharibu maadili ya wanafunzi wa Jangwani Secondary. Wanafunzi hawa wanatumia kuwepo kwao chuo kikuu...
3 Reactions
14 Replies
5K Views
Back
Top Bottom