Dr.philosophy
Senior Member
- Oct 12, 2012
- 122
- 27
wadau naomba kuuliza kwa anaejua .kna dogo aliungq vyeti viwil vya form four akafqnya mtihan wa form six mwaka huu..asa anatka kuapply mkopo na kwnye bahasa hizi mpya kuna sehemu unatkiwa uandike mwaka uliofnya mtihan wa form four.asa apo anatakiwa aandke mwaka wa kurisitia au mwaka aliofnya mtihan kwa mara ya kwnza?msaada tafadhali