Amepata ufaulu wa daraja la tatu mchepuo wa CBG! Je, anaweza kupata chuo cha Serikali?

marine 1

Member
Jul 29, 2015
60
67
Habari za wakati huu?

Naomba msaada wa mawazo.
Nina ndugu aliyemaliza kidato cha sita, Combination CBG.
Kwa mujibu wa matokeo yaliyotoka hivi juzi, amepata division three (3).

Sasa naomba mwenye ujuzi anisaidie kama huyu kijana anaweza kupata chuo cha serikali,
na pia Course itakayomfaa huko chuoni.

aksante sana
 
ujawa specific amepata division three ya ngapi?...hila kama amefikisha criteria amepata D mbili basi huyo anapata chuo, hila aangalie na course anayoijaza .by the way asomee ualimu tu.

OPONDO
 
ujawa specific amepata division three ya ngapi?...hila kama amefikisha criteria amepata D mbili basi huyo anapata chuo, hila aangalie na course anayoijaza .by the way asomee ualimu tu.

OPONDO
Kapata three ya 14, EED.
 
Habari za wakati huu?

Naomba msaada wa mawazo.
Nina ndugu aliyemaliza kidato cha sita, Combination CBG.
Kwa mujibu wa matokeo yaliyotoka hivi juzi, amepata division three (3).

Sasa naomba mwenye ujuzi anisaidie kama huyu kijana anaweza kupata chuo cha serikali,
na pia Course itakayomfaa huko chuoni.

aksante sana
Hawezi kusoma degree..hana principal
 
huyo aendee diplomer tu achague coz nzuri ambayo itamfaa au aangalie pale chuo cha serikali mbeya university of science and technology kuna cozi nyingi za diplomer na n nzuri pia au aendee akasomee mambo ya agriculture huwa wanamkopo kwa diplomer
 
Habari za wakati huu?

Naomba msaada wa mawazo.
Nina ndugu aliyemaliza kidato cha sita, Combination CBG.
Kwa mujibu wa matokeo yaliyotoka hivi juzi, amepata division three (3).

Sasa naomba mwenye ujuzi anisaidie kama huyu kijana anaweza kupata chuo cha serikali,
na pia Course itakayomfaa huko chuoni.

aksante sana
Hawezi kupata.

Akhsante sana.
 
kuna vyuo vikuu ambavyo kuna diplomer mfn hicho cha mbeya ndo ninacho kifahamu sijajua kwa vingine lakin hata vyuo vya mtu binafsi vipo ila kwanza anataka kusomea nini?
 
Mwambie akasomee kushona cherehani, itamtoa zaidi. Kushona kitenge kimoja ni Tsh 25K. Kwa siku akiweza kushona vitenge viwili ana 50K. Akishona kwa siku 25 za mwezi, ana Tsh 1,250,00O.
Hii ni pesa ambayo hata akiwa na PhD, hawezi ipata.
 
Kapata three ya 14, EED.
Haendi popote upande wa Shahada,labda ajaribu Diploma pekee.TCU wamekuwa ngangari sana miaka hii.Kuna kijana wangu mmoja mwaka jana alikosa japo alikuwa mbishi aliomba
 
Back
Top Bottom