Real Estate vs Land Evaluation and management, Ardhi University

Scropion_Master

Senior Member
Jan 8, 2017
109
113
Wadau nina kijana wangu, amefaulu vizuri tu form 6, na anahitaji kusoma kati ya hizo kozi mbili hapo juu, kwa anayefahamu indetail kuhusu hizo kozi. Msaada please ili niweze kumshauri..Maana binafsi sina uelewa nazo na kijana anataka kusoma.
 
Back
Top Bottom