Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Ni siku ya pili leo tangu nimfanyie mtu online application chuo cha Muhas, baada ya kujaza details zoote shida ni kuletewa reference number ili kufanya malipo, inaandika pleease wait..... Simu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwanza kabisa napinga kufungia MD kwenye vyuo kama UDOM na IMTU ma kuiacha UDSM (MD), TCU inapaswa kuulizwa kwa makini sababu za msingi za kuacha MD course pale wakati tunajua kama kuna jipu basi...
4 Reactions
90 Replies
13K Views
Samahani naomba kuulizaa endapo mtu matokeo yake ya kidato Cha sita hayajatoka kwasababu hakulipia Sasa tayari kalipia wiki ya pili sasa haoni matokeo yake anaweza fuata hatua gani? Arudi NECTA...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Salamu wakuu husika kichwa cha habari hapo juu .Niko kwenye process za kuomba vyuo nimefanikiwa viwili tu lakini sua na udom vinasumbua sana. Kwa mfano sua nimeshajisajili Nina user name na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa waliotuma cheti cha kuzaliwa RITA kuna sehemu unatakiwa kujaza namba ya risiti ya malipo. Je hapo unajaza nini kama hicho risiti imepotea au umesahau ulikohifadhi? Masada tafadhali kwa...
0 Reactions
26 Replies
14K Views
Public relations and marketing - St Augustine Public administration - Udom Ushauri wenu wakuu ni wapi pana uwanja mpana.
0 Reactions
17 Replies
7K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA WADAU WOTE WA ELIMU Ndugu wanahabari wote,kwanza nimshukuru Mungu kwa uhai na afya njema aliyonijalia hadi siku ya leo. Ndugu zangu kwanza kabisa niwapongeze...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
MKOA WA KILIMANJARO UNAVYOUAIBISHA MKOA WA DARESALAM KITAALUMA. Na Thadei Ole Mushi. #Mkoa wa Kilimanjaro pekee una shule 66 za Advance yaani mara sita ya shule zote za Mkoa wa Mtwara na Geita...
0 Reactions
0 Replies
600 Views
Habar za muda wakuu , kama hapo juu kunavyojieleza nipo mwanza na vyuo vinavyo toa kozi ya INFORMATION TECHNOLOGY ni vichache sana hivi nahtaj kujiunga na masomo ya diploma, so naweza jiunga na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hi wanajamvi! Moja kwa moja najikita kwenye maswali yangu yanitatizayo kila kukicha.... 1. Hivi inakuwaje main transmission lines za umeme zinakuwa na nyaya tatu wakati umeme unaokuja kuvutwa...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Habari, Nina mdogo wangu anataka naenda advance wiki ijayo sasa wamepanga comb ya HGL kuna baadhi ya watu wanamtisha kuwa language ni ngumu, sasa anataka kuchukua Kiswahili badala ya Language...
0 Reactions
33 Replies
7K Views
Habarini wana jamvi.. Naombeni mnijuze kuhusu hili.. kama inawezekana mtu aka apply moja kwa moja form four aende TIA au IFM kusoma diploma bila kupitia A-level??? Ahsanten...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Wakuu nilikua nataka kufahamu zaidi juu ya hiyo kozi kama kuna mtu anaifahamu kiundani ajira zake inakofundishwa na chichote kile
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Natanguliza samahani katika hili mm n kijana nliyemaliza kidato cha sita mwaka huu na kupata ufaulu ufuatao,, O-level Math B English B Literature C Geography B History D Civics D Kiswahili C...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
kama una D mbili na ungependa kusomea ualimu wa nursery,tuwasiliane,chuo kipo bukoba, nitafute kwa namba hii 0763269465
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wakubwa.
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Naomba aliye hitimu kozi tajwa hapo juu anipe uzoefu wa baada ya ku graduate na huko kazini pia..je ni nzuri au ndio majanga tu... Nawasilisha
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wakuu?naomba kujua mwanafunzi aliepata daraja la 15 kwa mchepuo wa CBG anweza pata chuo cha shahada?pia kozi zipi anaweza somea kutokana na ufahuru huo.....naombeni ushauri kwani hapa...
2 Reactions
42 Replies
6K Views
Napenda kuwapa pole wale wote waliokosa AVN kwa sababu tofauti ikiwa zao binafsi ama kwa kuchelewa vyuo walivyosema kupeleka matokeo yao NACTE. Ila nawakumbusha kuwa NAVNS bado ipo wazi waendelee...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
habari wanajf naulizia hospitali inayoweza kudhamini mafunzo ya clinical medicine kwa masharti ya kufanya kazi kwenye taasis husika endapo ukimaliza masomo nilishawahi kusikia eti ndanda hospital...
0 Reactions
2 Replies
795 Views
Back
Top Bottom