Combination ya EGM

mhshemdoe

JF-Expert Member
Feb 1, 2017
363
531
Habari wana JF,
Kwa matokeo haya je ni kozi gani itamfaa
Economics - C
Geography - C
Mathematics - S
 
Kwani yeye alivyokua anasoma alitegemea akifika chuo angependa kusoma nini? Yaani i mean nini passion yake?
 
Kijana wangu amepata ECONOMICS E
MATH D na GEOGRAPHY D ameomba IT ardhi university vipi anaweza kupata kweli au competition ni kubwa sana.
 
Back
Top Bottom