Habari zenu wadau,nimeona katika forum hii watu hupata ushauri mzuri kuhusu matokeo yao na vitu gani wasome,na mimi naombeni msaada wenu tafadhali katika hili.
Kuna rafiki yangu amemaliza kidato...
Taarifa kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita,wengine wanaotaka kujiunga na ngazi mbali mbali za elimu ie.Certificate,diploma,undergraduate na postgraduate.
Kuna maonyesho ya tume ya vyuo...
HABARI ZENU
TUNATAFUTA MTU/WATU AMBAO WATATUPATIA NOTES NZURI SANA ZA MASOMO YOTE YA SEKONDARI NA PRIMARY(primary class 1-7, o level na a level)
NOTES HIZO ZINATAKA KUCHAPISHWA KWENYE WEBSITE...
In today’s technologically oriented economy, it’s no surprise that employees with strong computer skills fare better in the job market than their tech challenged counterparts. This trend...
Nilikuwa napitia tuuu baada ya machungu ya kukosa ajira ya ualimu nikajaribu kupitia walimu walioajiriwa wa mwaka 2016 na kisha nikapitia wa mwaka 2017. Nilianza na waalimu waliomaliza 2016 ni...
Habari zenu ,ninaomba maelezo kuhusu shule hii ( kama kuna walimu wa kutosha ,mazingira yake ,hostej,ufaulu wa shule) inshort mazuri na mabaya asanteni
Wasalaam,
Nimepewa kazi na mzazi wa kijana mmoja kuwa nimshauri kijana wake achague kozi na chuo anachoweza kupata shahada.Kiukweli mimi ni mzoefu kwenye kada za Sayansi(Mhandisi) sasa imeniwia...
Wadau naombeni kupewa utundu na marifa hapa,ukiandika sms kwa sim ndogo unaweza kuandika mpka pages 5 kwa baadhi ya sim lakini sms hiyo hiyo ukiituma kwenye simu za smart inaingia ndefu sana...
Mimi ni miongon mwa wanafunz niliomaliza kdato cha sita sasa nilikuwa naomba mnisaidie nahitaj kuchukua geography na mathematics chuo sa bdo cjajua faculty ya kuchukua na chuo cha kwenda kusoma...
Habari za mchana wanafamilia
Naomba mnisaidie Chuo kipi hapa Tanzania kinachotoa course ya interior&exterior design.. Anaefahamu naomba kujuzwa Tafadhali.
Ahsanteni na mchana mwema.
Wana JF naomba mwenyewe kufahamu chuo kinachotoa mafunzo ya kozi ya HIV/AIDs cancelling kinachopatika DSMs . Mm nimehitimu kidato cha 4 na nilisoma masomo ya sayansi.
Habari wakuu
Natumaini kuna watangulizi hapa ndani waoweza kunipa mwanga kidogo kuhusu programs mbalimbali ktk kada ya afya, matokea yangu ya O-level nilipata div 1 huku physics B, chem A na bios...
Wapendwa Wahitimu Kidato cha Sita 2018,
Kwa Heshima kubwa, Chuo Kikuu Huria cha Tanzania kinawapongeza sana kwa kuhitimu masomo yenu na kufuzu vizuri kupitia matokeo ya mtihani yaliyotangazwa...
Wahitimu wengi wamekuwa na ukakasi juu ya course ipi wasomee kutokana na matokeo waliyopata ,lakini njia nzuri ya kuchagua course sahihi ya kusomea ni kufikiri kitu gani unakipenda na ndiyo ndoto...
Habari Wakuu kwa niaba ya wengi
Ningependa Mnifahamishe Chuo kizuri hapa tanzania ambacho kinatoa koz za Computer application na wana walimu wazur ada inakuwaje kwa mwaka nk.
Miaka ile hakuna kitu kilikuwa cha mshtuko kama usikie matokeo.
Matokeo yakitangazwa lazima siku mbili tatu uskie wawili watatu wamejinyonga mwingine mara kanywa sumu.
Ila sa hivi hata hupati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.