Tujuzane zaidi jinsi ya kutuma maombi katka vyuo vilivyosajiliwa na NACTE

benitashaboy

Member
Jul 7, 2018
6
0
Karbuni Tujuzane Zaidi Jinsi Ya Kutuma Maombi Katka Vyuo Vilivyo Sajiliwa Na Nacte
 
Attachments

  • NACTE (2).jpg
    13.4 KB · Views: 55
Karbuni Tujuzane Zaidi Jinsi Ya Kutuma Maombi Katka Vyuo Vilivyo Sajiliwa Na Nacte
Ukitaka Kufanya Application Baada ya Kujaza Personal Details Sehem Ya kuchagua Instituion /Category zpo mbili tu na wanasema choose your Priority wamewek kada mbili afya na elimu, pia Ukifungua Nacte Ile Sehem Ya Category Zimeorodheshwa Mbili tu Available Category Sas Shda / Tatzo Kuna kada mbili pili ukiangalia Deadline Ni Tarehe hyohyo sas jee? hawa wa IT,nakada zngine Bado hawajafungua Application zao nacte au kunatatzo gani??
 
Kada zilobaki zote ukitoa zile zilowemo mle za vyuo vya serikali ( Afya na Ualimu ) unaomba chuo direct.
 
Kutokana na garama zao za kitajirii imenilazim kuomba chuo kimojaa.....naulizaa kunauwezekano wa kutochaguliwa nn???
 
Back
Top Bottom