Hivi Diploma nao hupewa mkopo na serikali?

Robert Heriel Mtibeli

Platinum Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
40,326
Reaction score
93,404
Habari wakuu

Moja kwa moja kwenye mada.
Juzi nilipanda na uzi wa kuuliza kuhusu mdogo wangu wa kike aliyepata DIV 3 ya 14 katika mchepuo wa PCB yakuwa ataweza kusoma shahada yake ya awali, jibu nililopata kwa wengi hasa wa humu Jamvini ni kuwa uwezekano huo ni haupo.

Baadhi walienda mbali zaidi kwa kunipa ushauri kuwa bado dogo hajapoteza sana kwani anaweza akajifuta machozi kwa kusomea Diploma ya kile alichokuwa anandoto nacho ili baadaye ajiendeleze akitaka.

Nilijaribu kuongea nae na kumtuliza na hang'ova ya matokeo na sasa amenielewa.
Ndoto zake nikuwa kusomea ufamasia. Bila shaka atasomea Diploma ya ufamasia kama ipo.

Swali je, Serikali hutoaga mikopo kwa wanafunzi wa Diploma? Majibu tafadhali.
 
Mbona kwa matokeo hayo anaweza kusoma BPharm.

Mwambie ajaribu UDOM, CUHAS atapata !

Diploma walitangaza kuwa watatoa mikopo ila miezi 2 baada ya tangazo, wakatangaza tena WAMESITISHA !
 
nitamwambia a

sawa mkuu, nitamwambia ajaribu bahati yake kama biko
 
Mbona kwa matokeo hayo anaweza kusoma BPharm.

Mwambie ajaribu UDOM, CUHAS atapata !

Diploma walitangaza kuwa watatoa mikopo ila miezi 2 baada ya tangazo, wakatangaza tena WAMESITISHA !
udom hakuna bachelor ya pharmacy
 
Mwambie aombe:

BPharm

1. UDOM, 2. BUGANDO, 3. MUHAS ) + LOAN BOARD

DIPLOMA

1. MUHAS 2. BUGANDO!

Akikosa Bachelor atapata Diploma. Mimi ni MUHAS Alumni napajua vizuri !

Shukrani Mkuu. Maana dogo kajikatia tamaa hapa anahisi dunia si sehemu salama.

MUHAS nasikia ni komplicated sana
 
Arudie pepa tu hapo uwezo anao akitulia.....akipata point za kudahiliwa atapata mkopo vzr tu bila shida......anyway kupata mkopo ni sawa na jiwe lipande ndege livuke boda ya africa......
 
Shukrani Mkuu. Maana dogo kajikatia tamaa hapa anahisi dunia si sehemu salama.

MUHAS nasikia ni komplicated sana
MUHAS inakuwa Complicated kutokana na Umaarufu wa chuo pamoja na Umaarufu wa kozi anayotaka !

Watu wengi wanaomba hivyo wanafanya Competition inakuwa kubwa. Ila matokeo yake siyo mabaya. Atapata tu.

Tena kama ni Diploma itakuwa faster tu maana wanaangalia matokeo ya O-Level. Sasa kama mtu ana PCB Div 3 matokeo yake ya O-Level nadhani hayana wasiwasi !
 
O' Level ana div 2 ya 18
physics C
Chemistry C
Biology B
B/MATH B
 
Mwambie aombe:

BPharm

1. UDOM, 2. BUGANDO, 3. MUHAS ) + LOAN BOARD

DIPLOMA

1. MUHAS 2. BUGANDO!

Akikosa Bachelor atapata Diploma. Mimi ni MUHAS Alumni napajua vizuri !
Minimum entry kwa fani za afya ni C - Chem, C - Bio na D - Phys. Pont 8 kwa MD, DDD na Pharmacy.
Na
C - Chem, D - Bio na E - Phys. Point 6.
Sasa unamshauri aomba huoni kama anatupa pesa yake bure tu. Tena hizo 3 za 14 kuna wengne hawaendelei.
 
Back
Top Bottom