Naomba sample ya barua ya kuomba kibali cha kuhamia halmashauri iliyo mkoa mwingine.

Online Pastor

JF-Expert Member
Sep 7, 2017
1,949
2,000
Wakuu,

Naomba mwenye nakala ya barua inayoonyesha mfumo mzima wa barua ya kuomba kibali cha kuhamia halmashauri nyingine katika mkoa mwingine.

Au layout nzima ya kuomba kuhamia halmashauri nyingine katika mkoa mwingine bila ya kubadilishana na mtu.

Thanks in advance!
 

Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
59,871
2,000
Bujibuji kwani ukimweleza kwa lugha ya uungwana utapoteza nini? Why derogatory language?
Yaani inasikitisha, kuandika barua tu hadi u copy Na u paste?
Kama baba unaigilizia (unapiga desa) barua wanao vipi Huko shuleni?
Lazima tuvunje hili jini la utegemezi wa hata vitu vidogo.
Tuanze sasa kujitegemea
 

Online Pastor

JF-Expert Member
Sep 7, 2017
1,949
2,000
Bujibuji ahahaha,sawa mkuu,

aKuna mdogo wangu yupo Meatu,nataka nimsaidie aahamie Misungwi mwanza.

Hivyo taratibu za idara ya elimu sizijui

Ndio maana nikaamua kuja jukwaa la elimu kupata msaada.

Mimi umahiri wangu upo kwenye Injili au Siasa na siyo taaluma.

By the way,does our educational system in Tanzania ever teaches its students on how to write a letter like the one i have asked for on this thread?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom