Yah: Ombi la kufundisha Jangwani High School

MTUNZA AMANI

Senior Member
Jun 2, 2012
187
21
YAH: OMBI LA KUHAMISHIWA JANGWANI HIGH SCHOOL

Mimi ni Sadick francis Masilu, (BAED) ninaomba mamlaka zinazohusika na uhamisho na uteuzi mnipeleke nikafundishe JANGWANI HIGH SCHOOL sababu nina uzoefu wa kutosha na mbinu za kisasa za ufundishaji. Naahidi kua katika masomo yangu (History, Kiswahili) nusu ya darasa au zaidi wasipopata alama A mamlaka husika inifute kazi.

Kwa sasa ninafanya kazi mkoani Tabora kama mwalimu mwajiliwa wa serikali. Sihitaji gharama za kuhamishwa sababu nina wito wa kurudisha jina la JANGWANI.

Nawahakikishia nitaipaisha Jangwani.

MWL SADICK F. MASILU
0652583409
 
1. Panda bus la kwenda Dar
2. Shuka Ubungo terminal
3. Panda daraaja la wavuka kwa miguu ushuke stend ya mwendokasi ubungo
4. Lipia sh.650 na uchukue tiketi
7. subiiri gari ya Muhimbili kisha panda
8. Shuka kituo cha "fire" (sema: faya)
9. Vuka barabara kisha utaiona shule ya sekondari jangwani
10. Peleka maombi yako ofisi husika.

Kila la kheri mkuu
 
Unataka ukajilie bufeee

Leo Mweupe , kesho mweusi, kesho kutwa Mwenye lips pana, Mwenye tege la uchokozi n.k

Mamlaka Za Uteuzi zikupe Na Ualimu wa taaluma Na upewe nyumba ya kuishl pale
Haha..
 
Akijibu naomba uni tag. ,
Zipo za kutosha, natamua Jangwani ni shule.kubwa haiwezo kuaibishwa namna ile. Mimi niko commited, na kwa kujiamin kabisa ndo maana nimesema nusu ya darasa au zaidi wasipopata A kwenye masomo yangu mamlaka husika zinifute kazi kabisa na siyo kunihamisha tena.

Mimi nimebobea kufundisha kwa ustadi wa hali ya juu wenye kumuhamasisha mwanafunzi kuelewa bila kutumia nguvu kubwa. Kwahiyo hapa sijifurahishi bali nimeamua kuisaidia serikali na wananchi kwa kuwafundisha kwa weredi watoto hadi wapate matokeo mazuri.
 
YAH: OMBI LA KUHAMISHIWA JANGWANI HIGH SCHOOL.
Mimi ni Sadick francis Masilu,(BAED) ninaomba mamlaka zinazohusika na uhamisho na uteuzi mnipeleke nikafundishe JANGWANI HIGH SCHOOL sababu nina uzoefu wa kutosha na mbinu za kisasa za ufundishaji. Naahidi kua katika masomo yangu (History,Kiswahili) nusu ya darasa au zaidi wasipopata alama A mamlaka husika inifute kazi. Kwa sasa ninafanya kazi mkoani Tabora kama mwalimu mwajiliwa wa serikali. Sihitaji gharama za kuhamishwa sababu nina wito wa kurudisha jina la JANGWANI. nawahakikishia nitaipaisha Jangwani.

MWL SADICK F. MASILU
0652583409
Unamfaham Deogratius Kisandu?
Una undugu nae?
Mliwahi kusoma wote?
Mbona mawazo yenu yanafanana?
Unaonaje mkiwa shule moja mchape kazi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom