Kwa sasa naomba nikiri kuwa ELIMU yetu iko ICU inaelekea kwenye jeneza ama kaburi ifukiwe NA kupotea kabisa. Kuna mambo tutabishana lakini kwa hili naomba mnielewe.
Nilikuwa najaribu kuongeza...
Salamu zenu ndugu wanajamii,
Nahitaji kufahamu vitabu vinavyofaa,muhimu na rahisi kuvitumia katika masomo ya kidato cha tano na sita hasahasa masomo ya biology,physics na chemistry.
Habari wana-JF
Naomba msaada kwa mtu mwenye uzoefu wa kuomba chuo cha SUA, nimefanikiwa kujisajili nina username na password ila kuna sehemu ya kuweka numba ya mtihani wa advance
Sehemu hiyo...
Lindi clinical medicine
Kigoma clinical medicine center
Masasi(mtwara) clinical medicine center
Hivi vyuo ni bora kweli kwenye mafunzo ya clinical medicine kwa ngazi ya cheti na diploma???
Wanajamvi heshima mbele.
Naomba kujua kwa mwenye uelewa mzuri kuhusu vyuo vya India vinavyotoa Degree ya Engineering (Civil) na makadirio ya gharama zake. Nina binti yangu nataka nimpeleke huko...
*APPLICATION ZA VYUO ZIMEFUNGULIWA RASMI: HIVI HAPA VYUO VYOTE NA MAELEKEZO YA KILA CHUO -JINSI YA KUTUMA MAOMBI 2018*
[emoji828] *[Download PDF Files] za maelekezo ya APPLICATION kwa Kila CHUO*...
Wakuu kijana wangu amesoma CBG na amepata EDD respectively na yuko interested sana kujiunga SUA kwa course yoyote kati ya hizi;
1) Bsc of tourism management.
2) Bsc. Wildlife management.
3) Bsc...
Habari wakuu naomba kuuliza hivi kwa mfano tayari una bachelor na hujamaliza mkopo unaodaiwa, unaweza kuomba tena degree ya MD ambayo ni kipaumbele cha serikali ukapewa tena mkopo ?
msaada jamani juu ya clinical officer kwa matokeo haya chem-C, bios-C, phyz-F, math-D na englsh-C . Na kama naeza kupata ni kwa chuo gani ?
wakuu msaada jamani
Kuna issue ya AVN imekuwa tatio jaman.Nacte wanasema wahitimu wawasiliane na vyuo vitume matokeo ndo wapatiwe AVN....
Hivi Nacte si ni bodi inayosimamia vyuo vyote vya ufundi..kwanini...
Habari!
Naomba msaada wenu, kwa mtu aliyepata division 3 point 15 ya CBG atasoma kozi gani na chuo gani diploma kinamfaa?
Marks zake ni kama ifuatavyo;
Chemistry - S
Biology - D
Geography - E
Historia fupi ya Shahada hii ni kwamba ilianzishwa hapa Tanzania katika chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine mwaka wa masomo 2010/2011.
TCU iliwachagua Wanafunzi wapatao 25 kujiunga pale SUA katika...
Habarini za muda huu wakuu
Siku nne zilizopita nilifungua account ya online application kwa ajili ya bachelor degree pale udom
Wakanitaka nilipie kwa tigo pesa kwa kuwapa namba ya simu na...
Wanajamvi, naombeni mnisaidie,
Mtoto wangu wa kike anamaliza darasa la saba mwaka huu. Nisaidieni kupata shule bora. Iwe Arusha au Moshi:
1. Iwe shule yenye kuzingatia maadili
2. Inayofanya...
Morning, Ukitaka kufanya Chaguzi za program siku zote Chagua "sample " yani tengeneza orodha ya kozi nyingi zenye sifa tofauti unazotaka wewe. mfano naangalia hivi.
1. Carrier yangu.
Kozi iwe ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.