Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Wanafunzi Ardhi nao waanza mgomo Thursday, 23 December 2010 20:08 Ibrahim Yamola na Imakulate Peter MWAMKO wa wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu kudai...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Serikali yasalimu masharti Udom Send to a friend Wednesday, 22 December 2010 19:49 0diggsdigg Waziri wa Mambo ya Ndani, Shamsi Vuai Nahodha. Habel Chidawali na Masoud Masasi, Dodoma HATIMAYE...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Nimesoma comments kibao sana hapa JF kuhusu mgomo wa wanafunzi wa UDOM. Kuna theme moja nimeiona inashika moto hapa JF kuwa wanafunzi wa UDOM ni wana CCM. You know what, hata mimi nilikuwa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Jana kulikuwa na mkutano kati ya uongozi wa UDOM na mawaziri wa Elimu na Mambo ya Ndani. Mkutano uliendelea hadi saa nane usiku wa kuamkia leo. Na leo asubuhi kulikuwa na msafara wa wote...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu hili neno kiukweli sijajua maana yake kamili labda inawezekana lina maana kubwa au lina maana nyingi. ningeomba wadau wanaojua maana yake halisi waweze kutuelewesha ,manake kwanza hili neno...
0 Reactions
6 Replies
8K Views
Nafasi ya kusoma Masters degree in Education and Globalisation, Finland. kwa taarifa zaidi nenda BestLife Africa.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
MGOMO wa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) wa kutokuingia madarasani kushinikiza wenzao waliokuwa wakishikiliwa na polisi kuachiwa pamoja na kupatiwa fedha kwa ajili ya masomo kwa vitendo...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
MGOGORO katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), umeibuka upya baada ya wanafunzi wa Kitivo cha Sayansi ya Jamii kugoma kuingia madarasani jana kwa lengo la kuushinikiza uongozi wa chuo kutoa agizo la...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimeongea na mwanafunzi mmoja pale chuoni ndo haya amenidhibitishia ijapokuwa wenye fani (waandishi wa habari) confirm zaidi; Wanafunzi 2 wamekufa, hii inahitaji udhitisho. wameporwa simu, fedha...
0 Reactions
71 Replies
6K Views
Wanafunzi wa Kile chuo kikuu kinachojulikana kwa wengi kama chuo cha CCM, UDOM wameanzisha mgomo tangu jana usiku na kuendelea asubuhi hii. Mgomo huo ambao hasa unafanyika katika chuo cha...
0 Reactions
129 Replies
14K Views
"Wanafunzi UDOM wapigwa mabomu ya machozi, walitaka kwenda ofisini kwa waziri mkuu" Breaking news-Radio ONE ya saa tano.
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Wengi wamekuwa wakiongea mengi kuhusu UDOM na CCM sasa ninachojiuliza sijui hivyo vyuo vingine vya serikali ni vya TLP, APPT Maendeleo, Demokrasia Makini au Jahazi!!! Naomba wana JF wenzangu...
0 Reactions
39 Replies
6K Views
The government is planning to introduce English as a medium of instruction from standard three in three years, aiming to raise the confidence of Tanzania job seekers in the East African common...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Kila mwaka zaidi ya asimilia 53 ya wanafunzi wanaofanya mtihani wa kidato cha nne hupata DIVISION IV.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
The government is planning to introduce English as a medium of instruction from standard three in three years, aiming to raise the confidence of Tanzania job seekers in the East African common...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
By BILHAM KIMATI, 15th December 2010 @ 11:00, Total Comments: 0, Hits: 213 THE government has opened door to hire English teachers from the East African region to help strengthen the education...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
H.J. Heinz Company Foundation Fellowship 2010-11 Mallaba Foundation updated:2010-12-9 22:42:28 The Global Studies Center at the University of Pittsburgh requests applications for the H. J...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
BACHELOR'S DEGREE SCHOLARSHIP IN USA (BEREA COLLEGE) Mallaba Foundation updated:2010-12-9 22:40:58 Are you looking for a high quality U.S. education and scholarships to assist with the...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa kawaida kila anayetunukiwa shahada ya uzamivu anavaa kofia ya duara. Lakini MUHAS tar 11/12/2010 walimvisha mhe Jakaya Mrisho Kikwete kofia ya mraba. Kwangu nikiwa msomi wa shahada ya uzamili...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Salaam kwenu nyote wapenda maendeleo wa dhati hapa Tanzania. Ninayo furaha kubwa kuwataarifu kwamba sisi wanajumuiya ya Chuo Kikuu Cha Dodoma ambao ni wafuasi wa dhati wa CHAMA CHA DEMOKRASIA NA...
0 Reactions
74 Replies
7K Views
Back
Top Bottom