Nguvu kubwa zimetumika? Haya ndo wanaelezewa pale UDOM sasa hivi.

Selous

JF-Expert Member
Jan 13, 2008
1,325
144
Nimeongea na mwanafunzi mmoja pale chuoni ndo haya amenidhibitishia ijapokuwa wenye fani (waandishi wa habari) confirm zaidi;
  • Wanafunzi 2 wamekufa, hii inahitaji udhitisho.
  • wameporwa simu, fedha, viatu na kadi za ATM (na password walilazimishwa). Hili nadhibitisha kwa kuwa wakati napiga akapokea japo sio kuongea labda harakatti za kuzima, nilisikia binti yetu akiambiwa toa na hio na hizo ghafla simsikii tena japo baadae alitafuta namna nyingine ya kuwasiliana.
  • Wanafunzi wamebakwa. nilimbishia lakini akaniambia wewe upo Kahama na mimi nipo ndani ya eneo la tukio na huenda wanafunzi wengine wakajiua maana depression imetawala. Inahitaji udhibitisho.
  • Wanafunzi zaidi ya 600 wameshikiliwa. Inahitaji udhibitisho.
Aliniambia kuwa hata RC wa dodoma ameshindwa kuelezea nguu iliotumika VS kama wangewaachia akakutana na mfagiaji wa ofisi ya Pinda, je haya yangetokea?

Huenda FFU walielekeza hasira yao kwa UDOM kujifanya kimbelembele jwa CCM lakini nguvu hii ni zaidi ya hapo. Tujadili.
 
Acha kuleta umbea hapa,source ni muhimu. Tumewasiliana na wadogo zetu haya unayoongea hayajatokea. Ila kichapo wamekula
 
pole zao lkn hawa vijana hawanaga msimamo sasa hivi wanapewa kibano wkt juzi kwenye kampeni walikuwa began kwa bega na jk mashairi na mashati ya kijani sasa hawakuwa wamemwambia matatizo yao au aliwaahidi kuwatatulia akawatosa manake ni juzi tu wamepat naye sanjari na kumpa another udr leo wakilia inaacha maswali au waliokuwa wakimshabikia kawarekebishia?
 
Acha kuleta umbea hapa,source ni muhimu. Tumewasiliana na wadogo zetu haya unayoongea hayajatokea. Ila kichapo wamekula

Baada ya Kusoma hii habari nimewasiliana na mtu mmoja pale UDOM ananiambia ni kweli kuna rumours ya 2 kupoteza maisha ila hawajajua ni akina nani, na swala jingine wanasema baada ya kutembezewa kichapo wengi waliingia msituni na mvua imenyesha sana usiku wa kuamkia leo hivyo kuna watu kibao hawajarudi chuo na hawajulikani waliko.
 
Ni vizuri wamepewa "kipigo" - Haki haipatikana kwa kuwa Mwanachama wa CCM, it is more than that!
 
Hawa vijana wa cku hizi legelege wanashindwa kukabiliana na ffu?hawa polisi wanatakiwa wafundishwe adabu ile waache umamruki
 
Acha kuleta umbea hapa,source ni muhimu. Tumewasiliana na wadogo zetu haya unayoongea hayajatokea. Ila kichapo wamekula

Umbea ni kupeleka/kutoa habari ya kweli sehemu isiyo pake. Now what is wrong here?
 
Nimeongea na mwanafunzi mmoja pale chuoni ndo haya amenidhibitishia ijapokuwa wenye fani (waandishi wa habari) confirm zaidi;

  • Wanafunzi 2 wamekufa, hii inahitaji udhitisho.
  • wameporwa simu, fedha, viatu na kadi za ATM (na password walilazimishwa). Hili nadhibitisha kwa kuwa wakati napiga akapokea japo sio kuongea labda harakatti za kuzima, nilisikia binti yetu akiambiwa toa na hio na hizo ghafla simsikii tena japo baadae alitafuta namna nyingine ya kuwasiliana.
  • Wanafunzi wamebakwa. nilimbishia lakini akaniambia wewe upo Kahama na mimi nipo ndani ya eneo la tukio na huenda wanafunzi wengine wakajiua maana depression imetawala. Inahitaji udhibitisho.
  • Wanafunzi zaidi ya 600 wameshikiliwa. Inahitaji udhibitisho.
Aliniambia kuwa hata RC wa dodoma ameshindwa kuelezea nguu iliotumika VS kama wangewaachia akakutana na mfagiaji wa ofisi ya Pinda, je haya yangetokea?

Huenda FFU walielekeza hasira yao kwa UDOM kujifanya kimbelembele jwa CCM lakini nguvu hii ni zaidi ya hapo. Tujadili.
Kila jambo na wakati wake,
wakati wa kuwa bega kwa bega na sisiem
wakati wa jk kuahidi UDOM matatizo yao yatakuwa historia
wakati wa UDOM kutoa tamko kwa niaba ya wasomi wa dodoma kulaani wabunge wa cdm kususia hotuba
wakati wa jk kuonyesha sura yake halisi kwa UDOM kupitia ffu
Poleni sana , hao ndo wanasiasa wetu, jitahidini kuwaelewa wanapowatembelea na kuwapa maneno matamu badala ya kuwashangilia kiushabiki
 
Hivi hawa ndio wale walimchangia pesa JK ili achukue fomu ya kugombea Urais?
 
Baada ya Kusoma hii habari nimewasiliana na mtu mmoja pale UDOM ananiambia ni kweli kuna rumours ya 2 kupoteza maisha ila hawajajua ni akina nani, na swala jingine wanasema baada ya kutembezewa kichapo wengi waliingia msituni na mvua imenyesha sana usiku wa kuamkia leo hivyo kuna watu kibao hawajarudi chuo na hawajulikani waliko.
Inasikitisha , hawa vijana hawana mafunzo ya kijeshi , wamekimbilia porini kwa hofu lolote huko laweza tokea , Mwenyezi MUNGU aepushie mbali madhara. Wanafunzi walipaswa kujifunza toka kwa wafanyakazi walipotaka kugoma , JK alitoa hotuba kali akiwa karibu na wakuu wa vyombo vya usalama , vijana wa UDOM wajue kuwa MGOMO machoni pa serikali ni kuhatarisha amani , utulivu na mshikamano tuliojijengea vitu ambavyo wanasiasa wetu wanavilinda kwa nguvu zote bila kujali unachojaribu kuwasilisha kwao.
 
hawa watoto walichowafanyia watanzania wamelipwa hata kabla hatuajasahauuuuuuu, poleni sanaaaa hao ndio CCM
 
jana nilishangilia vijana kupata bakora, ila sikutegemea kwamba wanajeshi wetu wanaweza kuwa wakatili kiasi cha kuua watoto wa CCM... eniwei tusubiri full ripoti

poleni UDOM na mkome kushabikia siasa wakati hamjaoga
 
Kazi safi sana kutoka kwa jeshi la polisi,maaana wao walijia wakiipenda ccm,watakua salama.sasa mambo ndio hayo yanageukaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
mi nawashauri wachkue baskeli na wavae nguo za kijani,waendeshe baskeli kutoka udom mpaka ikulu wakampongeze waliempa hela ya kuchukulia fomu
 
Hawa polisi hawana adabu kabisa kuwapiga wana ccm, kichapo hicho walistahili kupewa wana chadema, kwani wana ccm ni malaika.Watoto wa watu walimchangia mkwere 1m leo polisi wanawashushia kipondo cha mbwa mwizi ama kweli siasa mchezo mchafu. CCM iliwatumia kama kondom wamemaliza shida zao wana kong'oli hivyo.
 
Acha kuleta umbea hapa,source ni muhimu. Tumewasiliana na wadogo zetu haya unayoongea hayajatokea. Ila kichapo wamekula
Mponjoili tafadhali mambo mengine si ya ushabiki wa kisiasa, Gazeti la Mtanzania la leo limeripoti wanafunzi 120 wako ndani FFU wamewapora pesa,simu,vitambulisho vya benki,na kuwanyanyasa kijinsia,hii ni hali mbaya sana ,maandamano ya amani yanaruhusiwa katika katiba hii hii mbovu tuliyonayo hawana kosa wanafunzi hao na hakuna sababu ya kuwanyanyasa kama vile ni wageni katika nchi yao, Serikali ya CCM inajenga chuki bure kwa wananchi
Sasa inaonekana kama vile hakuna serikali kabisa nina maana kuna vacuum ya uongozi kila mtu anafanya kile yeye anaona kinapendeza ,nchi imeingia kwenye machafuko baado tuu kufikia kilele,tulioyaona Arusha kwa Jeshi la polisi kutumia nguvu kubwa kwa madiwni na mbunge wa Chadema yanonyesha kabisa jinsi KIKWETE alivyo dikteta na anavyo tawala kibabe,nchii iko kwenye maafa makubwa
 
Back
Top Bottom