Very Urgently! Msaada jamani.

Kisima

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
3,856
3,652
"Customer service strategy,customer service policy,marketing plan and budget,sponsorship policy or strategy,expansion strategy"
Plz my need is just some definitions of those listed words especially applicable in banking institutions.
Kwa atakae provide just PM me na donge nono lipo mezani.
 
Lutala

JF-Expert Member
Jun 17, 2010
848
103
Muda uliopoteza kutuma post ungeutumia ku - visit google.com ungekuwa ushapata bingo la kutosha. Acha uvivu tumia muda wako kusoma. Ndo nyinyi mkipata kazi kutwa kuwapigia simu walimu wenu kutakujua hili au lile. Tukiwaambia msome kuelewa nyie mnasoma kupata GPA tu. Sasa unaona hilo balaa la interview?
 
<br />
<br />
Asante!
Ntsakujibu baadaeila shaz nahtaj msaada!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom