Jukwaa la Elimu

mwambene

Member
Jul 16, 2011
5
0
jamani ndugu zangu nimeapply mara ya pili lkn nilipoingia ktk profile yangu nimekuta programme zangu nne hakuna badala yake wameniongezea programme mbili ambazo sikuziomba na ni nje ya taaluma yangu sasa nifanyeje? na kibaya zaidi kila programme nimeandikiwa not selected na kwa maana hii sielewi kama ndo nimemwagwa tena.
 
sio wewe peke yako mimi pia kuna rafiki yangu amekuta matatizo kama ayo, ebu jaribu kuwa mzumilivu kidogo mpka watakapo-publish hayo majina ya 2nd round officially!
 
He knows that's why has enquired, is all what we call Rhetorical Questions. Let him find an Alternative if yet doesnt understand what it mean.
 
jamani ndugu zangu nimeapply mara ya pili lkn nilipoingia ktk profile yangu nimekuta programme zangu nne hakuna badala yake wameniongezea programme mbili ambazo sikuziomba na ni nje ya taaluma yangu sasa nifanyeje? na kibaya zaidi kila programme nimeandikiwa not selected na kwa maana hii sielewi kama ndo nimemwagwa tena.

dah hapo kwenye red pameshajieleza ssa sijui anataka tumwambie nni.....................huh
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom