seeking for sponsors

Mgumu04

JF-Expert Member
Jul 15, 2011
1,828
2,000
I'm hereby to get informations from members.any one with informations of sponsorship of education plz inform me i didin't get loans from heslb.so kama unajua taasisi yoyote inayofadhili elimu nijulisheni vinginevyo kusoma kwangu itakua ishu
 
SHERRIF ARPAIO

JF-Expert Member
Aug 25, 2010
9,574
2,000
I'm hereby to get informations from members.any one with informations of sponsorship of education plz inform me i didin't get loans from heslb.so kama unajua taasisi yoyote inayofadhili elimu nijulisheni vinginevyo kusoma kwangu itakua ishu

Unataka kwenda kusoma chuo gani na major gani na lini umeplan uanze?
 
NIMIMI

Senior Member
Apr 2, 2011
170
170
Just Face R. Mengi, might do it! I also experience the same and no where to go. Can we go with empty soulz? 'll it be pocbl to be admitted no payments?
 
mikatabafeki

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
12,804
2,000
Just Face R. Mengi, might do it! I also experience the same and no where to go. Can we go with empty soulz? 'll it be pocbl to be admitted no payments?
ni kweli unaonekana una matatizo lakini hapo kwenye red sijakupata...................huh
 
stan b

Member
Sep 8, 2011
85
0
I'm hereby to get informations from members.any one with informations of sponsorship of education plz inform me i didin't get loans from heslb.so kama unajua taasisi yoyote inayofadhili elimu nijulisheni vinginevyo kusoma kwangu itakua ishu
<br />
<br />
kama una mali isiyahamishika kakope BANK
 
Wi-Fi

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
2,085
2,000
kuna siku moja niliona sponsorship kutoka kwa rotary club ebu jaribu kuwachek kweny net chap coz dedline niliona ni tar15 this month!
 
Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
9,989
2,000
Umechaguliwa chuo gan mkuu,maana kuna vyuo vngne huwa vinatoa sponser?
 
Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
9,989
2,000
Kama umechaguliwa bugando pale huwa sponsershp znatolewa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom