Frank lwakatare
Member
- Jun 20, 2011
- 46
- 0
Mimi ni mwanafunzi ninaye tegemea kufanya mtihani wa taifa wa kidato cha nne mwaka huu,na pia shuleni sasa tuko kwenye mchakato wa kujaza kombi za kusomea form 5 pamoja na shule.kiukweli azma zangu za mimi kuwa shule sasa ni kuja kuwa mwanasheria pamoja na kuwa mwanasiasa mashuhuri hapa nchini.Ila ndugu zangu sina uelewa juu ya masomo ninayopaswa kuyachagua ili niyasomee na pia course za chuo ambazo niki apply zitaniwezesha kufanikisha azma zangu.NAOMBENI USHAURI WENU KATIKA HILI.