Taarifa:KWA WALE WALIOKOSA MKOPO 2011/2012

NIMIMI

Senior Member
Joined
Apr 2, 2011
Messages
170
Points
170

NIMIMI

Senior Member
Joined Apr 2, 2011
170 170
Mkuu nimechoka maana naambiwa 'BUDGET EXHAUSTED' mtaa utaniumiza ile mbaya hii ni mara ya tatu kuninyima mkopo. Ctamani tena.
 

Daole

Senior Member
Joined
Sep 23, 2010
Messages
161
Points
225

Daole

Senior Member
Joined Sep 23, 2010
161 225
kichekesho mm nipo kwenye kundi la waliowahi kupewa mkopo wakati mwaka huu ndio nimeomba kujiunga na chuo kikuu. hii inaudhi lakini pia inachekesha kwa kweli
 

GHANI

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2011
Messages
693
Points
195

GHANI

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2011
693 195
Mkuu nimechoka maana naambiwa 'BUDGET EXHAUSTED' mtaa utaniumiza ile mbaya hii ni mara ya tatu kuninyima mkopo. Ctamani tena.
<br />
<br />
mkuu bado una nafasi baada ya wiki mbili mambo yanaweza kuwa mazuri bado kuna nafasi.
 

tpellah

Member
Joined
May 19, 2011
Messages
49
Points
0

tpellah

Member
Joined May 19, 2011
49 0
Izo ni janja za ccm katika uchaguzi kwa intake mbili zilizopita eti science na education asilimia mia mbona wameshindwa kumaintain? walitumia mbinu iyo kuwarubuni wananchi katika uchaguzi wa 2010
 

Eshacky

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2011
Messages
965
Points
225

Eshacky

JF-Expert Member
Joined Apr 26, 2011
965 225
kaka mi nimepangiwa udom koz ya saynsi wamesema fomu hazikufka ila kopi ya fomu ninazo risiti ndo ilipotea nifanyeje?
<br />
<br />
nenda EMS, watakusaidia, c receipt iliandkwa kwny comp, so kumbukumbu zako zitakuwepo? And then ndo unaenda bodi na uthibitisho.
 

Forum statistics

Threads 1,391,490
Members 528,416
Posts 34,082,557
Top