Matokeo ya mwaka huu ya form IV yatakua mabaya kama NECTA wasipotaka kubadilika

Greater thinker

JF-Expert Member
Sep 12, 2011
286
38
Nimebahatika kuiona formation mpya ya masomo kadhaa ya mtihani wa form IV,..
Kote sina neno ila tatizo lipo katka mtihani wa chemistry ambapo nimeona kila sababu ya wanafunzi wengi kufanya vibaya somo hili..
1.KUONGEZEKA KWA MASWALI MENGI
hapo awali ktk section B Kulikuwa na jumla ya alama 60 na maswali 6 ie kila swali moja marks 10 ila sasa section B ni marks 54 maswali 9 ie kila swal marks 6.,sasa hapo tofauti imeonekana kuwa maswal yamezd marks zmepungua...na kuwa co rahsi mwanafunz kumalza kujbu maswal yote kwa 7b ya muda,..
2.PRACTICAL KUONGEZWA MASWAL
sanasana kwa wanafunz wa science huwa wanategemea sana practical kuwaokoa kwa kuwa n rahis lakn mara hi c rahc tena kwa kemia...maswal ya practical hapo nyuma yalikuwa n matatu zen unachagua mawili lakn kwa sasa unafanya maswal yote matatu na muda ukiwa n ule ule wa awali ambao n masaa mawili na nusu..nmebahatka kuongea na wanafunz wa azania&st.anthony nao pia wamelalamikia hi ishu baada ya kuikuta formatn hyo mpya kwny pepa zao za MOCK..sasa kama shule kubwa km hz hapa Dsm znalalamka je hao wa shule za kata?..2liangalien hil wadau wa elimu(sayansi)
nawasilisha
 

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,169
2,996
Tangu jana ulipobisha hodi humu jamvini nilijua unaweza ukawa wewe ni mwanafunzi! Serikali legelege ndiyo shida moja hawambiliki,na ukizingatia 2nakoelekea.
 

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,536
5,642
Kwahiyo unashauri NECTA ipunguze maswali nakuongeza marks ili wanafunzi wafaulu. Nyie ndio mnaosema mtihani ulikuwa mgumu. Naamini kuwa NECTA inasimamiwa na wasomi, hawalengi kumkomoa mwanafunzi kwakuwa hakuna maslahi kwa kufanya hivyo. Pia lazma utungaji wa mitihani ubadilike kutokana na mahitaji. Naona NECTA wapo sahihi.
 

tata mvoni

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
534
81
Kwahiyo unashauri NECTA ipunguze maswali nakuongeza marks ili wanafunzi wafaulu. Nyie ndio mnaosema mtihani ulikuwa mgumu. Naamini kuwa NECTA inasimamiwa na wasomi, hawalengi kumkomoa mwanafunzi kwakuwa hakuna maslahi kwa kufanya hivyo. Pia lazma utungaji wa mitihani ubadilike kutokana na mahitaji. Naona NECTA wapo sahihi.
<br />
<br />
mimi nadhani kwenye theory hakutakuwa na shida ingawaje format sijaiona,kwa sababu sidhani kama maswali yatakuwa marefu kama yale ya 10marks,ila kwenye PRACTICAL inabidi waangalie upya ujue kufanya maswali mawili ya QUALITATIVE ANALYSIS na Lile MOJA LA VOLUMETRIC kwa masaa 2.5 ni issue labda wabadilishe wafanye hivi VOLUMETRIC MAWILI NA QUALITATIVE SWALI MOJA then muda wauache uwe masaa 2.5 otherwise ngoma itakuwa nzito wanafunzi hawatamaliza maswali matokeo yake ni kufanya vibaya kama mleta maada anavyodai.PILI,kuhusu watu wa necta na taasisi ya elimu na wizara ya elimu ni wababaishaji unakumbuka Mwaka 2005 walileta P.C i.e PHYSICS WITH CHEMISTRY? Halafu wakafuta BOOK-KEEPING NA COMMERCE? Mwaka huu mt¨¬hani wa HESABU DARASA LA SABA WAMELETA WA KUCHAGUA hapa ni full ana-ana doo.Elimu yetu hii ni ubabaishaji na umamaishaji kwa kwenda mbele
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom