Kusoma open university na vyuo vikuu vingine

Mr.creative

JF-Expert Member
Aug 8, 2011
493
113
ubora wa taaluma inayotolewa na open university na vyuo vikuu vingine kama UDSM ,UDOM n.k unafanana ?
 

HAZOLE

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
1,552
691
kwa ubora usipime. ila wao no class, its a distance learning institution.
 

hengo

JF-Expert Member
Jun 6, 2011
402
50
Open kuko fresh ila ni hatari kwa waliozoea kusoma kwa kuviavizia paper,lakini wengi walio hitimu pale wakocompent sana maana inawalazimu kuchimba modul za course zote very deep.
 

kikahe

JF-Expert Member
May 23, 2009
1,350
279
kwa ubora usipime. ila wao no class, its a distance learning institution.[/

Kwa Open university, kuna wengine wanaingia darsani kama wa MBA, Executive and evening ila kuna wale wengine wa distance. Ila kama watu hawaingii class alafu wanafaulu je ingekuwa na wao wanaingia class kama wengine ingekuwaje?
 

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,023
1,771
By the way masomo ni yale yale 2,ila ukizubaa unaweza kujikuta unapga 1st degree kwa miaka 20.
 

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,023
1,771
Open university elmu yao iko poa,nadhan baada ya udsm,sua hyo open ni ya 3,kina maticha wa ukwel zaid hata ya waloko mzumbe,udom,iaa,ifm na kwngneko.tatzo kinadharaulika coz wahitimu weng wa bongo wao wanajua elimu inapatkana kwenye convectional universities 2.
 

Wan chai

Member
Sep 9, 2011
18
4
kwa ubora usipime. ila wao no class, its a distance learning institution.[/

Kwa Open university, kuna wengine wanaingia darsani kama wa MBA, Executive and evening ila kuna wale wengine wa distance. Ila kama watu hawaingii class alafu wanafaulu je ingekuwa na wao wanaingia class kama wengine ingekuwaje?

hakuna lolote huko. watu wanafanyiwa course work zao udsm. sasa hiyo quality unayosema ikowapi?
 

The last don

JF-Expert Member
Aug 3, 2011
876
841
By the way masomo ni yale yale 2,ila ukizubaa unaweza kujikuta unapga 1st degree kwa miaka 20.
Duh!...Mkuu hii kali sana,kwa hiyo unaweza kuanza 1st degree mkeo akiwa mjamzito,then ukaja piga discussion na mwanao.lol!
kuna limit kiongozi ya muda wa kogelea katika hiyo 1st degree mkuu,haifiki miaka 20.
 

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,735
1,195
Hahahahaaaaaa,,,,,nadhan hapo ameweka chumvi lakini ukwel ni kwamba watu wengine huifanya kwa muda mrefu
<b><span style="font-family: comic sans ms">Duh!...Mkuu hii kali sana,kwa hiyo unaweza kuanza 1st degree mkeo akiwa mjamzito,then ukaja piga discussion na mwanao.lol!<br />
kuna limit kiongozi ya muda wa kogelea katika hiyo 1st degree mkuu,haifiki miaka 20.</span></b>
<br />
<br />
 

tumwe273us

Member
Aug 26, 2010
43
11
Nimesoma open na ukweli ni juhudi binafsi.sio swala dogo na kwa ubora usiliongelee kabisa,tunazungumzia udsm na sua kwamba ndio best bt sijui mnatumia kigezo gn!nachojua,aliyemaliza open na kama kuku wa kienyeji anaetafuta mwenyewe kwa juhudi zake,hvy kumaliza open ni juhudi zako na aliyesema eti mpaka miaka 20 unasoma tu,ni mwongo kwani degree wameitega kwenye claster na mwisho ni miaka 6 tu so hakuna cha miaka 20.
Ukifanya masters na hao walitoka udsm na sua pamoja hasa mkasoma corze moja km pale udsm,unawapita vibaya coz ww umezoea kutafuta mwenyewe wakati wao wamezoea kupewa kwa kuku wa kisasa.usipime kabisa degree ya open.ukipata GPA 3.6 au yoyote ni ya kwako na kuangaika kwako na si ya kupewa kama huko kwingine mpk ubembeleze kwa ma prof.acha bana,open ipo juu sn.
 

Ngongo

JF-Expert Member
Sep 20, 2008
16,312
22,682
Nadhani miaka saba/nane ni mwisho kama haujachukua wanakutosa.

Duh!...Mkuu hii kali sana,kwa hiyo unaweza kuanza 1st degree mkeo akiwa mjamzito,then ukaja piga discussion na mwanao.lol!
kuna limit kiongozi ya muda wa kogelea katika hiyo 1st degree mkuu,haifiki miaka 20.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom