Davis chelsea
Member
- Jul 28, 2011
- 93
- 10
convert CARBON to BENZENE
Umenikumbusha mkandawile
Kukariri hayo yote ,kukimbizana Dar kumenipelekea sasa kula bata mbele. Mkandawile oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeWewe inawezekana tumesoma wote UDSM enzi hizo za Mkandawile. Vipi shule yake ya sekondari aliyoanzisha inaedneleaje?
lugha yenyewe ya kikemia ungeandika hivi:Mkuu umenikumbusha mbali ichape na Hexane with reagents Cr oxide and al oxide katika temperature ya 500 degree centigrade unapata benzene.
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us