Mkuu wa shule ya Rwamishenye ni kirusi cha michezo Bukoba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkuu wa shule ya Rwamishenye ni kirusi cha michezo Bukoba

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by opportunist2012, May 19, 2012.

 1. o

  opportunist2012 Member

  #1
  May 19, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huyu mkuu wa shule ya sekondari Rwamishenye amekuwa kikwazo cha maendeleo ya michezo kwa wanafunzi hapa Kagera.Mfano mzuri mwaka huu kwa makusudi amezuia shule yake kushiriki mashindano ya UMISSETA.Amekuwa mkorofi kwa waajiri wake yaan DEO na Mkurugenzi.Wadau wa michezo Bukoba tunaomba awajibishwe.a
   
Loading...