Nina 3.16 ya form6 nfanyaje?

Rahim usanga

Member
Dec 26, 2011
19
4
Guys,cjui nfanye nini coz nina 3.16 ya HKL-(ees)lakin nina F ya GS.Hapo ndo pananichanganya maana nilipenda kusomea LAW au MASS COMMUNICATION,lakini cjui cha kufanya naomba ushauri.je,nkifanya kazi kwanza naweza kusoma baadae?mfano kama nikaapply polisi/jeshi itawezekana?kama ndio naomba channel plz.
 
Back
Top Bottom