Mliosoma Makoko Seminari mpo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mliosoma Makoko Seminari mpo?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by tatanyengo, May 20, 2012.

 1. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #1
  May 20, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Ndugu mliosoma Makoko Seminari (St. Pius X Seminary) ya Musoma naomba tukumbushane machache kuhusu shule yetu pendwa. Enzi za Brother Brendan ( alikuwa akiwaambia Form II wawafundishe Form I kuogelea ziwani), Fr.Msilanga, Enzi za Fr. Chiza (alikuwa akimwabia aliyekuwa amefanya kosa amfuate kwenda ofisini kwake kisha mwanafunzi anatokomea badala ya kumfuata na alikuwa akitumia mkanda kuwachapa wanafunzi), Enzi za Fr.Bilingi (Mzee wa PAI na FIC).

  Enzi hizo Makoko Seminari ilikuwa inafanya vizuri kitaaluma lakini katika miaka ya hivi karibuni Makoko Haisikiki kulikoni?
   
 2. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #2
  May 20, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  mtafute na shibuda nasikia na mseminary mwenzio.
   
Loading...