Wanafunzi udom walia njaa, bodi ya mkopo imewasahau/ watelekeza!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanafunzi udom walia njaa, bodi ya mkopo imewasahau/ watelekeza!!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Uncle Jei Jei, May 20, 2012.

 1. U

  Uncle Jei Jei JF-Expert Member

  #1
  May 20, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,203
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 280
  Ni ajabu na kweli, mpaka sasa hata majina ya kusaini hayajatoka! Tarehe iliyotakiwa pesa ziwe tayari ni tar.3 may! Mpaka sasa kuna siku 17 zaidi! Hakuna taarifa zozote za pesa hiyo ya kujikimu kwa wanafunzi zinakuja lini wala wanasaini lini angalau waishi kwa matumaini! Na kwa mfumo wa sasa, hata majina yakija leo ili watu wasain, kuna wiki moja mbele! Mawaziri wanakula pesa tuu! Hawa vijana wanaambiwa Pesa hakuna!!
   
Loading...