Msaada tafadhali wapendwa

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,358
6,422
Wakati wa kuomba kujiunga na vyuo, nikiweka first choice nikawa sijapata, inakuwa na athali gani kwa choice zingine ambazo zinafuatia. Kwa mfano, nimeweka MUHAS first choice nikawa sikupata kwa ushindani mkali, je inaathiri choice yangu ya say ya KCMC ambako pass zangu ni nzuri tu? Au aliyeweka choice ya kwanza KCMC atapata kabla ya mimi ingawa namzidi pass? Msaada nisije fanya makosa ya choice?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom