Baadhi ya walimu wa Kahororo Secondary na kiherehere cha umbea kwa waajiri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baadhi ya walimu wa Kahororo Secondary na kiherehere cha umbea kwa waajiri

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by opportunist2012, May 19, 2012.

 1. o

  opportunist2012 Member

  #1
  May 19, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna baadhi ya walimu shule ya sekondari Kahororo iliyopo Bukoba-Kagera wamekuwa wakidhalilisha taaluma zao kwa kujikombakomba kwa Afisa Elimu kwa kuvujisha siri za shule na mienendo ya walimu kwa DEO na Mkurugenzi.Lengo lao kuu ni kupata upendeleo kutoka kwa DEO na Mkurugenzi.Tunawaonya wakiendelea na tabia hii tutawalipua hadharani.
   
 2. s

  sugi JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,367
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  "Sio kwenu tu,hata kwetu wapo"
   
Loading...