Walimu bahi wakopwa usahihishaji waihani mock wilaya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Walimu bahi wakopwa usahihishaji waihani mock wilaya

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by nyafuru, May 18, 2012.

 1. nyafuru

  nyafuru Member

  #1
  May 18, 2012
  Joined: Mar 29, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  KATIKA MAZINGIRA YA KUSHANGAZA WALIMU WA WILAYA YA BAHI WAPATAO 25 WAMEFANYISHWA KAZI YA KUSAHIHISHA MITIHANI YA MOCK WILAYA KWA UJIRA WA SH.5000 KWA SIKU KWA MDSA WA SIKU TANO NA HATIMAYE KUOMBWA WAWE WAVUMILIVU WILAYA HAINA HELA WANGOJE MPAKA HAPO ITAKAPO PATIKANA.HUKU WAKIBEMBELEZWA WASIHOJI KWA KUWA WALIKUWA KATKA MDA WAO WA KAZI WA KAWAIDA. LAKINI JE NI HALALI KULIPWA ELFU TANO KWA SIKU?CHAKUSHANGAZA HATA MMOJA WAO ALIPO HOJI WALIMU WANZAKE WALIMGEUKA NA KUONA HANA MAADILI YA UALIMU.WADAU WA ELIMU TUJUZENI KITENDO HIKI NI SAHIHI?:israel:
   
 2. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  Du!
  Wanafunzi si wanalipa pesa za "mock"!?
  Si pia wanalipa kwa kila mtihani mmoja!?
  Wameliwa hao...
   
 3. hengo

  hengo JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 403
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ukilitimba , urasimu na uonevu katika wilaya ya bahi unasababishwa na afisa elimu. Yaani ni mtu aliyejaa majivuno,chuki,uonevu na kutojali haki za watumishi waliochini yake,hana ushirikiano na wenzake kabisa.ofisi anaifanya nyumba yake asipokuwepo yeye no service hata akisafiri mpaka arudi haachii mtu ofisi.walimu ukienda na shida ya kiofisi ni matusi na kejeli.poleni sana walimu,kumbukeni walimu ni wito
   
 4. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #4
  May 18, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,025
  Likes Received: 3,051
  Trophy Points: 280
  hebu fafanua maana halisi ya wito ni nn mkuu kwani nafikiri enzi hizi usemi huu umepitwa na wakati na kuwa outdated kabisa
   
 5. kinya

  kinya JF-Expert Member

  #5
  May 19, 2012
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 482
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  wadau ualimu ni kazi kama kazi nyengine kwan inasomewa na hawana huduma ya kipekee wapiwayo mfano viongozi wa dini hupewa kila kitu na waumini wao na hizo ndo kazi za wito.
  kuhusu walimu bahi kukopwa na kulipwa hela ndogo sehemu ya lawama WAIBEBE WENYEWE KWA KUENDELEZA UNYENYEKEVU NA KUSHINDWA KUFANYA MAKUBALIANO BORA.
  Walimu kwa umoja wenu kataeni kuburuzwa kama kitu hakina maslai si lazima kufanya njaa na kuzungukana or utengano uta
   
Loading...