Je naweza kutumia ku-print soft copy ya vyeti kuombea mkopo HESLB? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je naweza kutumia ku-print soft copy ya vyeti kuombea mkopo HESLB?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kimbori, May 20, 2012.

 1. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #1
  May 20, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,738
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Wana JF naomba msaada wenu.
  Kuna ndugu yangu amenipa taarifa jioni hii, akitaka nimsaidie kuomwombea chuo TCU na mkopo HESLB, yeye yupo kijijini mbali sana.
  Changamoto kubwa inayonikabili ni kukosa vyeti pamoja na pasport halisia. Hivyo nikawa na wazo la ku-print vyeti husika kutoka kwenye E mail yake; kwani alivutunza humo, kisha nipeleke mahakamani kwa taratibu zingine. JE KUFANYA HIVYO KUNARUHUSIWA???
  Mchango wako ni muhimu sana na utaheshimiwa, kwa kuwa naamini hapa ni Home Of Great Thinkers.
   
 2. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #2
  May 20, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Yap ina kubalika kama hivyo vyet alivyo scan na kutunza soft copy ni halisia(original).
   
 3. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #3
  May 20, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,738
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Ahsante NingaR kwani hapo awali niliwahi kusikia kulikuwa na tatizo la kisheria i.e mahakama zilikuwa hazitambui.
   
 4. Kiresua

  Kiresua JF-Expert Member

  #4
  May 20, 2012
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 1,202
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  TCU ukawaulize wakusaidie, watakupa majibu ya uhakika zaidi, kuliko kutuuliza hapa jukwaani... unaweza ukaingizwa chumba cha wenyewe
   
 5. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #5
  May 20, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,738
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Kiresua - sipo DSM.... Ila nshukuru kwa michango yenu. Pamoja tunaweza!
   
Loading...