Hii ni haki kweli watanzania...! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ni haki kweli watanzania...!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by khauka, May 18, 2012.

 1. khauka

  khauka Senior Member

  #1
  May 18, 2012
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Habar wana JF...
  Kuna hii shule inaitwa Brain Trust Secondary School, P.O.Box 46152 Tel 0754574728 Dar. Hii shule imeamua kuwatesa watanzania kwa kuamua kubadili mkataba ghafla tofauti na makubaliano ya mwanzo ya malipo ya ada kwa term na badala yake bila kukubaliana na wazazi wameamua kuanzisha utaratibu wa malipo ya mwaka mzima na kuwarudisha watoto wote majumbani. Je wizara ya Elimu wanarijua hili...? Na ni mzazi gani analipwa mshahara wa mwaka mzima..? ilinae alipe ada ya mtoto ya mwaka. Naomba tusaidiane kulishuhulikia hili swala
   
 2. M

  Mchokozi JF-Expert Member

  #2
  May 20, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sijakuelewa kwani ni lazima mtoto/watoto wako wasome shule hiyoooooo??
   
 3. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #3
  May 20, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Mbona kuna shule nyingi tu zinazolipisha kwa mwaka?

  Tutaliingiza hili kwenye katiba mpya. Shule zote zilipiwe kila mwezi, na kodi za nyumba pia.

  Haya furahi na usubiri katiba mpya na waache watoto wasubiri mpaka swala hili litakapotatuliwa.
   
 4. The_Emperor

  The_Emperor JF-Expert Member

  #4
  May 20, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 884
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Khaa!Kila kitu serikali ichunguze!!!Elimu ishakua bidhaa,unaweza kununua kama ukiweza,ukishindwa si lazima kulalama!
   
Loading...