avi.JNR
Senior Member
- Nov 17, 2015
- 139
- 87
Najua wanafunzi wa TRANSFER BADO wengi mna hussle vya kutosha ..ni baada ya kuvumilia zaidi ya MIEZI MINNE ambayo academically tunaita SEMISTER moja ..poleni sana na pole pia kwa waliosaini BATCH 13.14.15. kwa kusaini 524000 namaanisha boom la 2 ....
Baada ya kufanya tatfiti zaidi ya 3 pale board nimengundua tunachezewa kamchezo
Nilipoohiji kwa siku ya kwanza majibu yalikuwa kama ifutavyo
Day one: "tukiwalipa transfer basi huwa tunalipa kutokana na wenzao tumewalipa mpaka wapi" akimanisha kama wengne wamelipwa boom mbili.basi transfer watawekewa zoote
Day two: "unajua transfer watalipwa second quater kwa kuwa pesa zao za kwanza hazijarudishwa kutoka vyuonii"
siku hiyo hiyo nikaenda ofgice nyingne wakaniambai
"pesa za return zimerudi sema bado ziko juu zinazinguka.."nilicheka sana kwa majibu yao..
Day three: kutokana kwamba waliniambia pesa ziko juu nikaenda siku nyingne nione kama zimeshuka wakanambia hivi "pesa za boom la kwanza zimefika jana .." hivi hiyo ni dharau au nn?
basi nia yao kubwa ni kutafuna pesa yetu..maana nimeenda vyuo zaidi ya vinne wanadai RETURN ZIPO board since JANUARY walivyomaliza kusainisha wanafunzi wao boom la kwanza
Kazi kwako mwana TRANSFER unaye hussle kama mm kudemand haki yako..
mm Jumatatu nitaenda tena ..nikiwa sasa sitaki siasa...
NOMBENI TRANSFERS TU tushauriane tunafanya nn? KABLA YA LIKIZO