Habari za majukumu wadau wa elimu.Nasikia eti vyuo vya ualimu wa shule ya msingi vinatoa foundatio course ya mwka mmoja kwa wanafunzi wa kidato cha nne wenye dvn 4 ya pass 4 na kuendelea ambao hawana sifa za kusoma 'diploma in primary eduction' then wakifuzu wanaendelea na hyo diploma.Naomba nieleweshwe kama ni kweli na ni vyuo gani vimeishaanza kutoa? Nitashukuru