mbegubora29
JF-Expert Member
- Mar 14, 2015
- 502
- 329
Jmn mie nimuaniriwa tyr na ni bachelor holder yq animal science toka SUA lkn najiona bado safar ninayo nataka ni apply diploma ya afya, kwahy nawaomba ushaur juu ya faida na hasra pindi nitakapochagua au kuamua nikasomee koz zq afya na sifa ninayo japo nilisoma siku nyingi kidogo kwq level ya form six ila diploma nitatumia form four!