tubadilishane vituo vya kazi

MHINA ATHMAN

Member
Jan 25, 2014
48
1
Mwl nipo KAKONKO kigoma idara secondary natafuta wa kubadilishana mimi niende kongwa,au wilaya yeyote mkoa wa dodoma 0782468003
 
Njoo tabora mjini nine wilaya za mbeya kama mbeya jiji na mbeya rural, mbalali, rungwe, makambako, iringa mawasiliano 0754019061
 
Mimi nipo maswa simiyu natafuta wa kubadilishana naye katika mkoa wa mbeya wilaya yoyote au njombe mjini
 
njoo MASASI MTWARA NIJE

1. PWANI-BAGAMOYO

2. PWANI -KISALAWE

3. MOROGORO

4. TANGA - KOROGWE /T. MJINI

5. PWANI - KIBAHA

Mawasiliano 0713 072971
 
Back
Top Bottom