Black fire
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 755
- 1,321
Habar ndugu zangu!!
Najua kuna wengi wenye ufahamu wa mambo mbali mbali. Vile vile tunatofautiana ktk kuelewa mambo.
Naomba kuuliza yafuatayo juu ya postgraduate ya education.
1. Je inaweza kuni cost sh ngapi?
2. Ni muda gani nitatumia kumaliza?
3. Ni chuo gani kizuri nikimanisha mazingira na ubora wa elimu itolewayo.
Mwenye ufahamu juu ya hayo anijuze tafadhali.