Bratherkaka
Senior Member
- Apr 30, 2012
- 101
- 10
Hello!
Ningumu sana kuelewa na kuamini kwangu hivi vitu, ni kama mara ya tano au sita najiribu post tatizo na bodi ya mikopo mwaka huu hapa jamvini. Nimefanya mambo yote kama walivyo agiza lakin mwisho wa siku inaishia kufail at end.
Nimeomba mkopo, nimeenda face to face kwenye office zao, nime appeal kupitia loan officer wa chuoo nachosoma lakini hakuna hata moja iliyo kubali,,
SINA HATA MZAZI MOJA(YATIMA), NASOMA SCIENCE (BACHELOR OF COMPUTER SCIENCE), NI MTANZANIA, lakini hadi leo sijapata sababu ni ipi hasa wametumia hapa. Inaumiza sana kwangu hata familia yangu vichwa.
Naomba niwasha kitu kimoja ambacho kinasumbua kwenye process zenu kwenye hili swala la mikopo kwa wanafunzi. Ndio wote ni mwanadamu tunafanya makosa sema tunatakiwa kujaribu kuleta huduma na kushugulia mtu moja moja sio general solution,, wengi wetu tunamatatizo person ambayo general solution inakuwa sio solution kwetu, mimi nimoja tu kwenye hili. wako wangapi wameshindwa kuendelea na masomo sababu ni makoso madogo the bodi yetu.
Nimeattch all of my copy of application frm zakuombea hadi applealing,, will all real certificate's
Naombeni ushauri wen ni give up on this au kunanjia nyingine kwenye hili swala.. Nitashikuru sana kwa msaada wenu
Asante sana.