Nina dada yangu ameresit mtihani wa kidato cha nne mwaka jana. Amepata DIVISION IV 26 akiwa na C mbili, D tano na F moja. Anahitaji kusoma UWALIMU wa primary. Je, anaweza akajiunga chuo cha serikali?, kama anaweza ni jinsi gani ya kujiunga huko. Lakini pia kama hawataruhusu serikalini, je akisoma private ajira haitasumbua?
NAOMBA MSAADA, ELIMU IMENIPITIA MBALI NAHISI KUMPOTEZA DADA YANGU
NAOMBA MSAADA, ELIMU IMENIPITIA MBALI NAHISI KUMPOTEZA DADA YANGU